Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 6:7

1 Wafalme 6:7 NEN

Katika kujenga Hekalu, yalitumika tu mawe yaliyochongwa huko machimboni, wala hakuna nyundo, patasi au chombo kingine chochote cha chuma kilichosikika sauti yake katika eneo la ujenzi wa Hekalu wakati lilipokuwa likijengwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 6:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha