Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 6:7

1 Fal 6:7 SUV

Na nyumba ilipokuwa ikijengwa, ikajengwa kwa mawe yaliokwisha kuchongwa chimboni; wala nyundo, wala shoka, wala chombo cha chuma cho chote, sauti yake haikusikiwa ilipokuwa ikijengwa nyumba.

Soma 1 Fal 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 6:7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha