Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Kutorokea MisriMfano

Kutorokea Misri

SIKU 6 YA 7

Macho Yenyu Yako Canaani Lakini Myoyo Yenyu Yako Misri

Ninapokomaa katika maisha, na katika Bwana, nimegundua kuwa ili kufikia mafanikio, au kufikia lengo, lazima uwe na mawazo ya kudumu ... Ukiwa katika iyo hali ya kupanga kesho ni lazima utarajie shida nyingi ambayo unapaswa kukutana kwenye barabara ya uzima ... Nimejifunza pia kuwa kitu chochote kilichostahili kinapaswa kipigwa vita kali. Kama kilima ambacho una mpango wa kujenga ngome yako kiko juu, vivyo hivyo ni vigumu kupanda ni kufikia juu. Ili kufikia juu, lazima uwe na macho yako na akili yako ilenge kitu kimoja. Mtu aliyezingatia ni mmoja ambaye ana lengo nzuri na kulenga upinde wake kwa kunyoosha mwisho kabla ya kuruhusu mshale wake wa kuruka hatimaye.

siku 5siku 7

Kuhusu Mpango huu

Kutorokea Misri

Muda mfupi baada ya ziara ya Wayahudi, ambao walijua kwamba Mfalme Herode alitaka kuua watoto wa eneo hilo, malaika alimtokea Yosefu katika ndoto kumwambia aende Misri na Maria na mtoto wa kijana Yesu. Swali 1: Ni nini u...

More

Tungependa kushukuru GNPI Kenya kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.gnpi-africa.org

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha