Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

UhakikaMfano

Assurance

SIKU 4 YA 4

Mungu anataka UJUE umeokolewa na utaenda mbinguni! Uhakika wako unakua kupitia kukutana na Mungu na kutafakari neno lake. Mistari inayofuata, unapoikariri, inaweza kukusaidia kuwa na uhakika katika Mungu siku zako zote. Maisha yako yabadilishwe kwa kukariri maandiko!


Uhakika utakuja kwa kumjua Mungu kwa undani zaidi. Njia moja ya kufanya hivyo ni kukaririr na kutafakari neno lake. Mistari hii ni baadhi ya mistari 500 na zaidi kutoka masomo zaidi ya 48 kwenye mfumo wa kukariri Biblia wa MemLock. MemLok ni rahisi, mwepesi na wa kufurahisha. Kwa kuchungulia tuu kunakufanya uanze. Unapatikana katika kwenye apu za viganjani na windows. MemLok 


siku 3

Kuhusu Mpango huu

Assurance

Mungu anataka UJUE umeokolewa na utaenda mbinguni! Uhakika wako unakua kupitia kukutana na Mungu na kutafakari neno lake. Mistari inayofuata, unapoikariri, inaweza kukusaidia kuwa na uhakika katika Mungu siku zako zote....

More

Tungependa kumshukuru MemLok, (mfumo wa kukumbuka Biblia), kwa kutoa muundo wa mpango huu. Kwa habari zaidi kuhusu MemLok, tembelea: http://www.MemLok.com/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha