Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mateso

Mateso

4 Siku

Mateso ni muhimu katika imani ya mkristu 2 Timothy 3:12 Njia ya kukabiliana na mateso kwa njia ya Kikristu huboreka kwa kutafakari neno la Mungu Mistari yafuatayo ukiyakukariri, yatakusaidia kukabiliana na mateso kataika maisha yako. Wacha maisha yako ibadilike kwa kukariri neno la Mungu. Kwa maagizo ya kukariri Bibilia, fuata http://www.MemLok.com

Tungependa kumshukuru MemLok, (Kumbukumbu la Biblia), kwa kutoa muundo wa mpango huu. Kwa habari zaidi kuhusu MemLok, tembelea: http://www.MemLok.com
Kuhusu Mchapishaji

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha