Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 12 YA 31

Yesu ni Kuhani Mkuu aliyeingia patakatifu, mbinguni, kwa ajili (Ebr 1:3,Aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu). Yeye ni Mungu kamili na mwanadamu kamili. Anajua madhaifu yetu na majaribu tunayokutana nayo, maana yeye pia alijaribiwa, ila hakutenda dhambi. Kwa hiyo ndiye Kuhani Mkuu wa kweli wa kutuwekea uhusiano mzuri na Mungu, ambaye tulimwasi kwa dhambi zetu.Tuyashike sana maungamo yetu(m.14). Tusimame imara katika imani yetu. Tukiamini kwamba neema yake yatuwezesha tunaelekea katika utukufu wa Mungu kwa ujasiri.

siku 11siku 13

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha ...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha