Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Desemba 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Desemba 2021

SIKU 8 YA 31

Mali, fahari na mamlaka za kidunia zaweza kuteketea ghafla katika majanga ya asili au vita, lakini katika somo hili sababu ni hukumu ya Mungu. Itaziondoa anasa hizo katika saa moja tu! Angalia huzuni ya wote walioishi katika mfumo wa maisha wa kibabeli na kujitenga na Mungu. Wanaomboleza vile vitu tu walivyokuwa navyo binafsi; hawafikirii hasara yao ya kweli, yaani kupoteza nafsi  (Mk 8:36), wala hawatubu. Hivyo huthibitisha hukumu ya Mungu kwamba ni ya haki. Sisi je, tunatiwa huzuni gani tukisoma habari hizo?

siku 7siku 9

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Desemba 2021

Soma Biblia Kila Siku Desemba 2021 ni mpango mzuri wa kusoma biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Desemba, pamoja na ufafanuzi mfupi wa kukusaidia kuelewa na kutafakari zaidi Neno la Mungu. Katika mpango huu u...

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha