Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 02/20Mfano

Soma Biblia Kila Siku 02/20

SIKU 1 YA 29

Mungu hujibu maombi. Hufahamu haja zetu hata kabla hatujaomba. Ndiyo maana hutujalia kuyapata hata yale ambayo hatujayaomba. Mungu hutujalia kupata yaliyo mema kutoka kwake wala hawezi kupuuzia tuliyoyaomba kwa jina lake. Sisi wanadamu tulio waovu tunawapa watoto wetu zawadi nzuri. Hakuna mzazi anayeweza kumpa nyoka badala ya samaki au jiwe badala ya mkate mwanawe. Ni hakika kabisa, Mungu aliye Mtakatifu na mwenye wema wote hutujalia kupokea mema zaidi ya yale tunayoomba.

Andiko

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 02/20

Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango...

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha