Zaburi 91:3-4
Zaburi 91:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya. Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana Yeye atakuokoa kutoka kwa mtego wa mwindaji, Na katika maradhi mabaya. Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.
Shirikisha
Soma Zaburi 91