Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 91:3-4

Zaburi 91:3-4 NEN

Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji, na maradhi ya kuambukiza ya kuua. Atakufunika kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake utapata kimbilio, uaminifu wake utakuwa ngao na kinga yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 91:3-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha