Zaburi 91:10-12
Zaburi 91:10-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote. Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo. Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:10-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako. Kwa kuwa atakuagizia malaika wake Wakulinde katika njia zako zote. Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Shirikisha
Soma Zaburi 91