Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 91:10-12

Zab 91:10-12 SUV

Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako. Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote. Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.

Soma Zab 91

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 91:10-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha