Zaburi 82:6-8
Zaburi 82:6-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nilisema kuwa nyinyi ni miungu; kwamba nyote ni watoto wa Mungu Mkuu! Hata hivyo, mtakufa kama watu wote; mtaanguka kama mkuu yeyote.” Inuka ee Mungu, uuhukumu ulimwengu; maana mataifa yote ni mali yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 82Zaburi 82:6-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye Juu, enyi nyote. Lakini mtakufa kama wanadamu, Mtaanguka kama mmoja wa wakuu. Ee Mungu, usimame, uihukumu nchi, Maana mataifa yote ni yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 82