Zaburi 82:4-5
Zaburi 82:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Waokoeni wanyonge na maskini, waokoeni makuchani mwa wadhalimu. “Lakini nyinyi hamjui wala hamfahamu! Nyinyi mnatembea katika giza la upotovu! Misingi yote ya haki duniani imetikiswa!
Shirikisha
Soma Zaburi 82Zaburi 82:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwokoeni maskini na mhitaji; Mwopoeni mikononi mwa wadhalimu. Hawajui wala hawafahamu, hutembea gizani; Misingi yote ya nchi imetikisika.
Shirikisha
Soma Zaburi 82