Zaburi 119:68-70
Zaburi 119:68-70 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ni mwema na mfadhili; unifundishe masharti yako. Wenye kiburi wanasema uongo juu yangu, lakini mimi nashika kanuni zako kwa moyo wote. Mioyo yao imejaa upumbavu, lakini mimi nafurahia sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:68-70 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe U mwema na mtenda mema, Unifundishe amri zako. Wenye kiburi wamenizulia uongo, Lakini kwa moyo wangu wote nitayashika mausia yako. Mioyo yao imenenepa kama shahamu, Lakini mimi nimeifurahia sheria yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119