Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:68-70

Zaburi 119:68-70 NEN

Wewe ni mwema, unalotenda ni jema, nifundishe maagizo yako. Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo, nitafuata mausia yako kwa moyo wangu wote. Mioyo yao ni katili na migumu, bali mimi napendezwa na sheria yako.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha