Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:68-70

Zab 119:68-70 SUV

Wewe U mwema na mtenda mema, Unifundishe amri zako. Wenye kiburi wamenizulia uongo, Kwa moyo wangu wote nitayashika mausia yako. Mioyo yao imenenepa kama shahamu, Mimi nimeifurahia sheria yako.

Soma Zab 119

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha