Zaburi 119:57-58
Zaburi 119:57-58 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe, ee Mwenyezi-Mungu, ndiwe riziki yangu kuu; naahidi kushika maneno yako. Naomba radhi yako kwa moyo wangu wote; unionee huruma kama ulivyoahidi!
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:57-58 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA ndiye aliye fungu langu, Ninaahidi kuyatii maneno yake. Nimekuomba radhi kwa moyo wangu wote, Unifadhili kulingana na ahadi yako.
Shirikisha
Soma Zaburi 119