Zaburi 119:57-58
Zaburi 119:57-58 NEN
Ee BWANA, wewe ni fungu langu, nimeahidi kuyatii maneno yako. Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote, nihurumie sawasawa na ahadi yako.