Zab 119:57-58
Zab 119:57-58 SUV
BWANA ndiye aliye fungu langu, Nimesema kwamba nitayatii maneno yake. Nimekuomba radhi kwa moyo wangu wote, Unifadhili sawasawa na ahadi yako.