Zaburi 119:140-142
Zaburi 119:140-142 Biblia Habari Njema (BHN)
Ahadi yako ni hakika kabisa, nami mtumishi wako naipenda. Mimi ni mdogo na ninadharauliwa; hata hivyo sisahau kanuni zako. Uadilifu wako ni wa haki milele; sheria yako ni ya kweli.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:140-142 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno lako limesafika sana, Kwa hiyo mtumishi wako amelipenda. Mimi ni mdogo, nadharauliwa, Lakini siyasahau mausia yako. Haki yako ni haki ya milele, Na sheria yako ni kweli.
Shirikisha
Soma Zaburi 119