Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:140-142

Zaburi 119:140-142 NEN

Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu, mtumishi wako anazipenda. Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa, sisahau mausia yako. Haki yako ni ya milele, na sheria yako ni kweli.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha