Methali 24:15-16
Methali 24:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Usivizie kama mwovu kushambulia makao ya mtu mwema, wala usijaribu kuiharibu nyumba yake, maana mtu mwema huanguka mara nyingi lakini huinuka, lakini mtu mwovu huangamizwa na janga.
Shirikisha
Soma Methali 24Methali 24:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ewe mtu mbaya, usiyavizie makao yake mwenye haki; Wala usipaharibu mahali pake pa kupumzika; Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.
Shirikisha
Soma Methali 24