Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:15-16

Mithali 24:15-16 SRUV

Ewe mtu mbaya, usiyavizie makao yake mwenye haki; Wala usipaharibu mahali pake pa kupumzika; Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena; Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.

Soma Mithali 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha