Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:15-16

Mithali 24:15-16 NEN

Usivizie kama haramia afanyavyo ili kuyashambulia makao ya mwenye haki, wala usiyavamie makazi yake, Kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena, lakini waovu huangushwa chini na maafa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha