Methali 12:21-22
Methali 12:21-22 Biblia Habari Njema (BHN)
Waadilifu hawapatwi na jambo lolote baya, lakini waovu wamejaa dhiki. Midomo isemayo uongo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini watu waaminifu ni furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:21-22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye haki hatapatikana na msiba wowote; Bali wasio haki watajazwa mabaya. Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA; Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Shirikisha
Soma Methali 12