Mithali 12:21-22
Mithali 12:21-22 NEN
Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi. BWANA anachukia sana midomo idanganyayo, bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.