Wafilipi 3:16-17
Wafilipi 3:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa. Ndugu zangu, fuateni mfano wangu. Tumewapeni mfano mwema, na hivyo wasikilizeni wale wanaofuata mfano huo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini, hapo tulipofika na tuende katika lilo hilo. Ndugu zangu, mnifuate mimi, mkawatazame wao waendao kwa kuufuata mfano tuliowapa ninyi.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3