Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Flp 3:16-17

Flp 3:16-17 SUV

Lakini, hapo tulipofika na tuenende katika lilo hilo. Ndugu zangu, mnifuate mimi, mkawatazame wao waendao kwa kuufuata mfano tuliowapa ninyi.

Soma Flp 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Flp 3:16-17

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha