Wafilipi 3:15-16
Wafilipi 3:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Sisi sote tuliokomaa tunapaswa kuwa na msimamo huohuo. Lakini kama baadhi yenu wanafikiri vingine, basi, Mungu atawadhihirishieni jambo hilo. Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3Wafilipi 3:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sisi tulio wakamilifu na tuwaze hayo; na hata mkiwaza mengine katika jambo lolote, Mungu atawafunulia hilo nalo. Lakini, hapo tulipofika na tuende katika lilo hilo.
Shirikisha
Soma Wafilipi 3