Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 3:15-16

Wafilipi 3:15-16 BHN

Sisi sote tuliokomaa tunapaswa kuwa na msimamo huohuo. Lakini kama baadhi yenu wanafikiri vingine, basi, Mungu atawadhihirishieni jambo hilo. Kwa vyovyote, tusonge mbele katika njia hiyohiyo ambayo tumeifuata mpaka hivi sasa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 3:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha