Marko 1:40-41
Marko 1:40-41 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!” Yesu akamwonea huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, “Nataka! Takasika!”
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:40-41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa. Naye akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.
Shirikisha
Soma Marko 1