Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:40-41

Marko 1:40-41 BHN

Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba: “Ukitaka, waweza kunitakasa!” Yesu akamwonea huruma, akanyosha mkono wake, akamgusa na kumwambia, “Nataka! Takasika!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:40-41

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha