Mathayo 22:9-10
Mathayo 22:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’ Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya harusi ikajaa wageni.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Nendeni hata njia panda za barabara, na wote mwaonao waiteni arusini. Watumwa wale wakatoka wakaenda njia kuu, wakakusanya wote waliowaona, waovu kwa wema; arusi ikajaa wageni.
Shirikisha
Soma Mathayo 22