Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 22:9-10

Mathayo 22:9-10 NEN

Kwa hiyo nendeni katika njia panda mkamwalike karamuni yeyote mtakayemwona.’ Wale watumishi wakaenda barabarani, wakawakusanya watu wote waliowaona, wema na wabaya. Ukumbi wa arusi ukajaa wageni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 22:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha