Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 22:9-10

Mathayo 22:9-10 BHN

Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje harusini.’ Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya harusi ikajaa wageni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 22:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha