Mathayo 15:3-4
Mathayo 15:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe? Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajibu, akawaambia, Mbona ninyi nanyi huivunja amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.
Shirikisha
Soma Mathayo 15