Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:3-4

Mathayo 15:3-4 BHN

Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi hamjali sheria ya Mungu ila mnapendelea mapokeo yenu wenyewe? Mungu amesema: ‘Waheshimu baba yako na mama yako,’ na ‘Anayemtukana baba yake au mama yake, lazima auawe.’

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:3-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha