Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 15:3-4

Mt 15:3-4 SUV

Akajibu, akawaambia, Mbona ninyi nanyi huihalifu amri ya Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu? Kwa kuwa Mungu alisema, Mheshimu baba yako na mama yako, na Amtukanaye baba yake au mama yake kufa na afe.

Soma Mt 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 15:3-4

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha