Yuda 1:1-2
Yuda 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Yuda, mtumishi wa Yesu Kristo na ndugu yake Yakobo, nawaandikia nyinyi mlioitwa na Mungu na ambao mnapendwa naye Mungu Baba, na kuwekwa salama kwa ajili ya Yesu Kristo. Nawatakieni huruma, amani na upendo kwa wingi.
Shirikisha
Soma Yuda 1Yuda 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya Yesu Kristo. Mwongezewe rehema na amani na upendano.
Shirikisha
Soma Yuda 1