Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yud 1:1-2

Yud 1:1-2 SUV

Yuda, mtumwa wa Yesu Kristo, ndugu yake Yakobo, kwa hao walioitwa, waliopendwa katika Mungu Baba, na kuhifadhiwa kwa ajili ya Yesu Kristo. Mwongezewe rehema na amani na upendano.

Soma Yud 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yud 1:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha