Yeremia 4:20-21
Yeremia 4:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Maafa baada ya maafa, nchi yote imeharibiwa. Ghafla makazi yangu yameharibiwa, na hata mapazia yake kwa dakika moja. Hadi lini nitaona bendera ya vita na kuisikia sauti ya tarumbeta?
Shirikisha
Soma Yeremia 4Yeremia 4:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Uangamivu baada ya uangamivu umetangazwa; kwa maana nchi yote imeharibika; hema zangu zimetekwa nyara ghafla, na mapazia yangu katika dakika moja. Niione bendera hata lini, na kuisikia sauti ya tarumbeta?
Shirikisha
Soma Yeremia 4