Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 4:20-21

Yeremia 4:20-21 SRUV

Uangamivu baada ya uangamivu umetangazwa; kwa maana nchi yote imeharibika; hema zangu zimetekwa nyara ghafla, na mapazia yangu katika dakika moja. Niione bendera hata lini, na kuisikia sauti ya tarumbeta?

Soma Yeremia 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 4:20-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha