Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 4:20-21

Yer 4:20-21 SUV

Uangamivu baada ya uangamivu umetangazwa; kwa maana nchi yote imeharibika; hema zangu zimetekwa nyara ghafula, na mapazia yangu katika dakika moja. Niione bendera hata lini, na kuisikia sauti ya tarumbeta?

Soma Yer 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yer 4:20-21

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha