Yakobo 1:22-23
Yakobo 1:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo. Yeyote anayesikiliza hilo neno lakini halitekelezi, huyo ni kama mtu anayejiangalia sura yake mwenyewe katika kioo.
Yakobo 1:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo.
Yakobo 1:22-23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)