Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 1:22-23

Yak 1:22-23 SUV

Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Kwa sababu mtu akiwa ni msikiaji wa neno tu, wala si mtendaji, mtu huyo ni kama mtu anayejiangalia uso wake katika kioo.

Soma Yak 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 1:22-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha