Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 1:22-23

Yakobo 1:22-23 NEN

Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu. Kwa maana kama mtu ni msikiaji tu wa Neno wala hatendi kile linachosema, yeye ni kama mtu ajitazamaye uso wake kwenye kioo

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yakobo 1:22-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha