Kutoka 23:28-29
Kutoka 23:28-29 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitapeleka manyigu mbele yenu ambao watawafukuza Wahivi, Wakanaani na Wahiti. Sitawaondoa watu hao katika mwaka mmoja, nchi isije ikabaki tupu na wanyama wa porini wakaongezeka mno na kuwazidi nguvu.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:28-29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitapeleka mavu mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako. Sitawafukuza mbele yako katika mwaka mmoja; nchi isiwe ukiwa, na wanyama wa pori wakaongezeka na kukusumbua.
Shirikisha
Soma Kutoka 23