Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 23:28-29

Kut 23:28-29 SUV

Nami nitapeleka mavu mbele yako, watakaomfukuza Mhivi, na Mkanaani, na Mhiti, watoke mbele yako. Sitawafukuza mbele yako katika mwaka mmoja; nchi isiwe ukiwa, na wanyama wa bara wakaongezeka kukusumbua.

Soma Kut 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 23:28-29

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha