Wakolosai 3:5-6
Wakolosai 3:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ueni chochote kilicho ndani yenu ambacho ni cha kidunia: Uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu). Kwa sababu ya mambo hayo hasira ya Mungu huwajia wote wanaomwasi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, viueni viungo vyenu vilivyo vya kidunia, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu; kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3